Isaiah 1:25
Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, 2 nitawasafisha takataka zenu zote 2 na kuwaondolea unajisi wenu wote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will turn my hand upon thee, and purely purge away thy dross, and take away all thy tin:
In Context
Cross References
Isaiah 1:22Fedha yenu imekuwa takataka, 2 divai yenu nzuri imechanganywa na maji. 1
Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1
Jeremiah 9:6Unakaa katikati ya udanganyifu; 2 katika udanganyifu wao wanakataa kunitambua mimi,” 4 asema Bwana.
Ezekiel 20:38Nitawaondoa miongoni mwenu wale wanaohalifu na wale wanaoasi dhidi yangu. Ingawa nitawatoa katika nchi wanazoishi, hawataingia katika nchi ya Israeli. Ndipo mtakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.
Ezekiel 22:22Kama fedha iyeyukavyo kalibuni, ndivyo mtakavyoyeyuka ndani ya huo mji, nanyi mtajua kuwa Mimi Bwana nimemwaga ghadhabu yangu juu yenu.’ ”
Zechariah 13:7“Amka, ee upanga, dhidi ya mchungaji wangu, 2 dhidi ya mtu aliye karibu nami!” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Mpige mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika, 1 nami nitageuza mkono wangu 2 dhidi ya walio wadogo, 1