Kumbukumbu 31:19
“Sasa ujiandikie wimbo huu, + 31:19 Wimbo huu hapa ina maana wimbo wa Mose. uwafundishe Waisraeli na uwaamuru wauimbe, ili upate kuwa ushahidi wangu dhidi yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Nami hakika nitauficha uso wangu siku hiyo kwa sababu ya maovu yao yote kwa kugeukia miungu mingine.
Cross References
Exodus 4:15Utazungumza naye na kuweka maneno kinywani mwake. Nitawasaidia ninyi wawili kusema, nami nitawafundisha jambo la kufanya.
Deuteronomy 6:7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo.
Deuteronomy 31:21Maafa na shida zitakapokuja juu yao, wimbo huu utashuhudia dhidi yao, kwa sababu hautasahauliwa na wazao wao. Ninajua lile wanaloandaa kufanya, hata kabla sijawaingiza katika nchi niliyowaahidi kwa kiapo.”
Deuteronomy 31:30Mose akayasoma maneno ya wimbo huu kutoka mwanzo hadi mwisho katika masikio ya kusanyiko lote la Israeli:
Joshua 24:27Yoshua akawaambia watu wote, “Angalieni! Jiwe hili litakuwa shahidi juu yetu. Limesikia maneno yote Bwana aliyotuambia. Litakuwa shahidi juu yenu kama mtakuwa waongo kwa Mungu wenu.” 1 Kuzikwa Katika Nchi Ya Ahadi
Isaiah 51:16Nimeweka maneno yangu kinywani mwako 2 na kukufunika kwa uvuli wa mkono wangu: 1 Mimi niliyeweka mbingu mahali pake, 2 niliyeweka misingi ya dunia, 1 niwaambiaye Sayuni, 2 ‘Ninyi ni watu wangu.’ ” 1 Kikombe Cha Ghadhabu Ya Bwana 1