Kumbukumbu 32:14
kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ngʼombe 2 na kutoka makundi ya mbuzi, 2 kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, 1 kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, 2 na kwa ngano nzuri. 1 Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:11Atamfunga punda wake katika mzabibu, 2 naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; 1 atafua mavazi yake katika divai, 2 majoho yake katika damu ya mizabibu. 1
Judges 5:25Aliomba maji, naye akampa maziwa; 2 kwenye bakuli la heshima 2 akamletea maziwa mgando. 1
Nehemiah 9:25Wakateka miji yenye ngome na nchi yenye rutuba, wakamiliki nyumba zilizojazwa na vitu vizuri vya kila aina, visima vilivyochimbwa tayari, mashamba ya mizabibu, mashamba ya mizeituni na miti yenye matunda kwa wingi. Wakala, wakashiba nao wakanawiri sana, wakajifurahisha katika wema wako mwingi.
Job 20:17Hatafurahia vijito, 2 mito inayotiririsha asali na siagi. 1
Psalms 81:16Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, 2 na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”
Isaiah 7:15Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema.