The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 20 › Ayubu 20:17

Ayubu 20:17

Hatafurahia vijito, 2 mito inayotiririsha asali na siagi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall not see the rivers, the floods, the brooks of honey and butter.

In Context

16Atanyonya sumu za majoka; 2 meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua. 1

18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; 2 hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 1

Read all of Ayubu 20

Cross References

Deuteronomy 32:13Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, 2 akamlisha kwa mavuno ya mashamba. 1 Akamlea kwa asali toka mwambani, 2 na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu, 1

2 Kings 7:2Yule afisa ambaye mfalme alikuwa anauegemea mkono wake akamwambia yule mtu wa Mungu, “Tazama, hata kama Bwana atafungua madirisha ya mbinguni, je, jambo hili litawezekana?” Elisha akajibu, “Utaona kwa macho yako mwenyewe, lakini wewe hutakula chochote kati ya hivyo!” 1 Mwisho Wa Kuzingirwa

Psalms 36:8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, 2 nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako. 1

Isaiah 7:15Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema.

Isaiah 36:17mpaka nije nikawapeleke katika nchi iliyo kama nchi yenu wenyewe, nchi ya nafaka na divai mpya, nchi ya mkate na ya mashamba ya mizabibu.

Jeremiah 17:6Atakuwa kama kichaka cha jangwani; 2 hataona mafanikio yatakapokuja. 1 Ataishi katika sehemu zisizo na maji, 2 katika nchi ya chumvi ambapo 2 hakuna yeyote aishiye humo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 20:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 20:16Ayubu 20Ayubu 20:18 →