Kumbukumbu 32:28
Wao ni taifa lisilo na akili, 2 hakuna busara ndani yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For they are a nation void of counsel, neither is there any understanding in them.
In Context
29Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili, 2 na kutambua mwisho wao utakuwa aje! 1
Cross References
Deuteronomy 32:6Je, hii ndiyo njia ya kumlipa Bwana, 2 enyi watu wajinga na wasio na busara? 1 Je, yeye siye Baba yenu, Muumba wenu, 2 aliyewafanya ninyi na kuwaumba? 1
Psalms 81:12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao 2 wafuate mashauri yao wenyewe. 1
Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.
Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1
Hosea 4:6watu wangu wanaangamizwa 2 kwa kukosa maarifa, 1 “Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, 2 mimi nami nitakukataa wewe 2 usiwe kuhani kwangu mimi; 1 kwa kuwa umeacha kuijali sheria ya Mungu wako 2 mimi nami sitawajali watoto wako. 1
Romans 11:25Ndugu zangu, ili msije mkajidai kuwa wenye hekima kuliko mlivyo, nataka mfahamu siri hii: Ugumu umewapata Israeli kwa sehemu hadi idadi ya watu wa Mataifa watakaoingia itimie.