Kumbukumbu 32:26
Nilisema ningewatawanya 2 na kufuta kumbukumbu lao 2 katika mwanadamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:12Kwa nini Wamisri waseme, ‘Ni kwa nia mbaya aliwatoa Misri, ili awaue milimani na kuwafuta usoni mwa dunia’? Achilia mbali hasira yako kali, waonee huruma na usilete maafa juu ya watu wako.
Leviticus 26:38Mtaangamia katikati ya mataifa; nchi ya adui zenu itawala.
Deuteronomy 9:14Niache, ili nipate kuwaangamiza na kufuta jina lao kutoka chini ya mbingu. Nami nitakufanya kuwa taifa lenye nguvu zaidi na kuwa wengi kuliko wao.”
Deuteronomy 28:37Utakuwa kitu cha kuchukiza, tena kitu cha kudharauliwa na kudhihakiwa kwa mataifa yote huko Bwana atakakokupeleka.
Psalms 34:16Uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu, 2 ili kufuta kumbukumbu lao duniani. 1
Isaiah 63:16Lakini wewe ni Baba yetu, 2 ingawa Abrahamu hatufahamu sisi 2 wala Israeli hatutambui; 1 wewe, Ee Bwana, ndiwe Baba yetu, 2 Mkombozi wetu tangu zamani za kale ndilo jina lako. 1