The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:35

Kumbukumbu 32:35

Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. 2 Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; 1 siku yao ya maafa ni karibu, 2 na maangamizo yao yanawajia haraka.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

To me belongeth vengeance, and recompence; their foot shall slide in due time: for the day of their calamity is at hand, and the things that shall come upon them make haste.

In Context

34“Je, hili sikuliweka akiba 2 na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 1

36Bwana atawahukumu watu wake, 2 na kuwahurumia watumishi wake 1 atakapoona nguvu zao zimekwisha 2 wala hakuna yeyote aliyebaki, 2 mtumwa au aliye huru. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

2 Samuel 22:48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, 2 ayawekaye mataifa chini yangu, 2

Psalms 94:1Ee Bwana, ulipizaye kisasi, 2 Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa. 1

Isaiah 5:19kwa wale wanaosema, “Mungu na afanye haraka, 2 aharakishe kazi yake ili tupate kuiona. 1 Huo mpango wa Aliye Mtakatifu wa Israeli na ukamilike, 2 tena udhihirike ili tupate kuujua.” 1

Isaiah 13:22Fisi watalia ndani ya ngome zake, 2 mbweha ndani ya majumba yake ya kifahari. 1 Wakati wake umewadia, 2 na siku zake hazitaongezwa.

Isaiah 60:22Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu, 2 mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu. 1 Mimi ndimi Bwana; 2 katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”

Jeremiah 8:12Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno? 2 Hapana, hawana aibu hata kidogo, 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini watakapoadhibiwa, 4 asema Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:35

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:34Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:36 →