1 Samweli 2:6
“ Bwana huua na huleta uhai, 2 hushusha chini mpaka kaburini + 2:6 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. na hufufua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD killeth, and maketh alive: he bringeth down to the grave, and bringeth up.
In Context
7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Cross References
Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1
1 Kings 17:22Bwana akasikia kilio cha Eliya, na roho ya kijana ikamrudia, naye akafufuka.
Job 5:18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; 2 huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 1
Psalms 68:20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, 2 Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 1
Psalms 116:3Kamba za mauti zilinizunguka, 2 maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, 2 nikalemewa na taabu na huzuni. 1
Isaiah 26:19Lakini wafu wenu wataishi, 2 nayo miili yao itafufuka. 1 Ninyi mnaokaa katika mavumbi, 2 amkeni mkapige kelele kwa furaha. 1 Umande wenu ni kama umande wa asubuhi, 2 dunia itawazaa wafu wake. 1