Kumbukumbu 32:6
Je, hii ndiyo njia ya kumlipa Bwana, 2 enyi watu wajinga na wasio na busara? 1 Je, yeye siye Baba yenu, Muumba wenu, 2 aliyewafanya ninyi na kuwaumba? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:16vitisho na hofu vitawaangukia. 1 Kwa nguvu ya mkono wako 2 watatulia kama jiwe, 1 mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana, 2 mpaka watu uliowanunua wapite. 1
Deuteronomy 14:1Ninyi ni watoto wa Bwana Mungu wenu. Msijichanje ama kujinyoa upara kwenye paji la uso kwa ajili ya aliyekufa,
Deuteronomy 32:18Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; 2 mkamsahau Mungu aliyewazaa. 1
Psalms 74:2Kumbuka watu uliowanunua zamani, 2 kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa: 2 Mlima Sayuni, ambamo uliishi. 1
Psalms 95:6Njooni, tusujudu, tumwabudu, 2 tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu, 1
Psalms 116:12Nimrudishie Bwana nini 2 kwa wema wake wote alionitendea? 1