Kumbukumbu 32:5
Wamefanya mambo ya upotovu mbele zake; 2 kwa aibu yao, wao si watoto wake tena, 2 lakini ni kizazi kilicho kiovu na kilichopotoka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:7Kisha Bwana akamwambia Mose, “Shuka, kwa sababu watu wako, uliowatoa Misri, wamepotoka.
Deuteronomy 9:24Mmekuwa waasi dhidi ya Bwana tangu nilipowajua ninyi.
Deuteronomy 32:20Akasema, “Nitawaficha uso wangu, 2 nami nione mwisho wao utakuwa nini, 1 kwa kuwa wao ni kizazi kilichopotoka, 2 watoto ambao si waaminifu. 1
Psalms 78:8Ili wasifanane na baba zao, 2 waliokuwa kizazi cha ukaidi na uasi, 1 ambao roho zao hazikuwa na uaminifu kwake, 2 ambao roho zao hazikumwamini. 1
Isaiah 63:8Alisema, “Hakika wao ni watu wangu, 2 wana ambao hawatanidanganya”; 2 hivyo akawa Mwokozi wao. 1
Zephaniah 3:7Niliuambia huo mji, 2 ‘Hakika utaniogopa na kukubali maonyo!’ 1 Ndipo makao yake hayatafutiliwa mbali, 2 wala adhabu zangu zote hazitakuja juu yake. 1 Lakini walikuwa bado na shauku 2 kutenda kwa upotovu katika yote waliyofanya.” 1