Zaburi 74:2
Kumbuka watu uliowanunua zamani, 2 kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa: 2 Mlima Sayuni, ambamo uliishi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:13“Katika upendo wako usiokoma utawaongoza 2 watu uliowakomboa. 1 Katika nguvu zako utawaongoza 2 mpaka makao yako matakatifu. 1
Deuteronomy 4:20Lakini kwenu ninyi, Bwana amewatoa kutoka kwenye tanuru ya kuyeyushia chuma, katika Misri kuwa watu wa urithi wake kama mlivyo sasa.
Deuteronomy 9:29Bali wao ni watu wako, urithi wako ule ulioutoa Misri kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyooka.”
Psalms 9:11Mwimbieni Bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni, 2 tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda. 1
Psalms 33:12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, 2 watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake. 1
Psalms 68:16Enyi milima yenye vilele vilivyochongoka, 2 kwa nini mnakazia macho kwa wivu, 1 katika mlima Mungu anaochagua kutawala, 2 ambako Bwana mwenyewe ataishi milele? 1