Kumbukumbu 32:8
Aliye Juu Sana alipowapa mataifa urithi wao, 2 alipogawanya wanadamu wote, 1 aliweka mipaka kwa ajili ya mataifa 2 sawasawa na hesabu ya wana wa Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1
Cross References
Genesis 10:15Kanaani alikuwa baba wa: 2 Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,
Genesis 11:8Hivyo Bwana akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji.
Numbers 24:16ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, 2 ambaye ana maarifa kutoka kwa Aliye Juu Sana, 1 huona maono kutoka Mwenyezi, 2 ambaye huanguka kifudifudi 2 na ambaye macho yake yamefunguka: 1
Job 15:19(wakati ambao wao peke yao ndio walipewa nchi, 2 hakuna mgeni aliyepita miongoni mwao): 1
Psalms 50:14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, 2 timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 1
Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1