Numbers 24:16
ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, 2 ambaye ana maarifa kutoka kwa Aliye Juu Sana, 1 huona maono kutoka Mwenyezi, 2 ambaye huanguka kifudifudi 2 na ambaye macho yake yamefunguka: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:18Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Numbers 24:4ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, 2 ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi, + 24:4 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania (pia 24:16). 2 ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka: 1
1 Corinthians 8:1Sasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga.