Kumbukumbu 32:9
Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the LORD’S portion is his people; Jacob is the lot of his inheritance.
In Context
Cross References
Exodus 15:16vitisho na hofu vitawaangukia. 1 Kwa nguvu ya mkono wako 2 watatulia kama jiwe, 1 mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana, 2 mpaka watu uliowanunua wapite. 1
Deuteronomy 9:29Bali wao ni watu wako, urithi wako ule ulioutoa Misri kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyooka.”
Joshua 24:17Bwana Mungu wetu mwenyewe ndiye alitutoa sisi na baba zetu akatupandisha kutoka Misri, kutoka nchi ile ya utumwa, na kutenda zile ishara kubwa mbele ya macho yetu. Ndiye aliyetulinda katika safari yetu yote na kutokana na mataifa yote ambayo tulipita katikati yao.
2 Samuel 20:19Sisi ni watu wa amani na waaminifu katika Israeli. Wewe unajaribu kuharibu mji ambao ni mama katika Israeli. Kwa nini unataka kumeza urithi wa Bwana?”
1 Kings 8:53Kwa maana uliwachagua wao kutoka mataifa yote ya ulimwengu kuwa urithi wako mwenyewe, kama ulivyotangaza kupitia mtumishi wako Mose wakati wewe, Ee Bwana Mwenyezi, ulipowatoa baba zetu kutoka Misri.”
Psalms 78:71Kutoka kuchunga kondoo alimleta 2 kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, 2 wa Israeli urithi wake. 1