The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:10

Kumbukumbu 32:10

Katika nchi ya jangwa alimkuta, 2 katika nyika tupu ivumayo upepo. 1 Alimhifadhi na kumtunza; 2 akamlinda kama mboni ya jicho lake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He found him in a desert land, and in the waste howling wilderness; he led him about, he instructed him, he kept him as the apple of his eye.

In Context

9Kwa kuwa fungu la Bwana ni watu wake, 2 Yakobo kura yake ya urithi. 1

11kama tai avurugaye kiota chake, 2 na kurukaruka juu ya makinda yake, 1 ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, 2 na huwachukua kwenye mabawa yake. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Deuteronomy 4:36Kutoka mbinguni amewasikizisha sauti yake ili kuwaadilisha. Hapa duniani aliwaonyesha moto wake mkubwa, nanyi mlisikia maneno yake kutoka kwenye ule moto.

Nehemiah 9:19“Kwa sababu ya huruma zako kuu hukuwaacha jangwani. Wakati wa mchana ile nguzo ya wingu haikukoma kuwaongoza katika njia yao, wala nguzo ya moto haikuacha kuwamulikia usiku njia iliyowapasa kuiendea.

Psalms 17:8Nilinde kama mboni ya jicho lako, 2 unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako 1

Psalms 107:4Baadhi yao walitangatanga jangwani, 2 hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi. 1

Proverbs 7:2Shika amri zangu nawe utaishi; 2 linda mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. 1

Jeremiah 2:6Hawakuuliza, ‘Yuko wapi Bwana, 2 aliyetupandisha kutoka Misri 1 na kutuongoza kupitia nyika kame, 2 kupitia nchi ya majangwa na mabonde, 1 nchi ya ukame na giza, 2 nchi ambayo hakuna mtu asafiriye ndani yake 2 wala hakuna mtu aishiye humo?’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:9Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:11 →