The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:18

Kumbukumbu 33:18

Kuhusu Zabuloni akasema: 1 “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, 2 nawe Isakari, katika mahema yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And of Zebulun he said, Rejoice, Zebulun, in thy going out; and, Issachar, in thy tents.

In Context

17Katika fahari yeye ni kama fahali mzaliwa wa kwanza; 2 pembe zake ni pembe za nyati, 1 na kwa pembe hizo atapiga mataifa, 2 hata yaliyo miisho ya dunia. 1 Hivyo ndivyo yalivyo makumi elfu ya Efraimu; 2 hivyo ndivyo yalivyo maelfu ya Manase.”

19Watawaita mataifa kwenye mlima, 2 na huko mtatoa dhabihu za haki; 1 watajifurahisha kwa wingi uliojaza bahari, 2 kwa hazina zilizofichwa mchangani.”

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Joshua 19:11Kuelekea upande wa magharibi ukafika Marala, ukagusa Dabeshethi, na kuendelea mpaka kwenye bonde karibu na Yokneamu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:17Kumbukumbu 33Kumbukumbu 33:19 →