Kumbukumbu 33:19
Watawaita mataifa kwenye mlima, 2 na huko mtatoa dhabihu za haki; 1 watajifurahisha kwa wingi uliojaza bahari, 2 kwa hazina zilizofichwa mchangani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:17Utawaingiza na kuwapandikiza 2 juu ya mlima wa urithi wako: 1 hapo mahali, Ee Bwana, ulipopafanya kuwa makao yako, 2 mahali patakatifu, Ee Bwana, ulipopajenga kwa mikono yako. 1
Psalms 4:5Toeni dhabihu zilizo haki; 2 mtegemeeni Bwana. 1
Psalms 50:13Je, mimi hula nyama ya mafahali 2 au kunywa damu ya mbuzi? 1
Psalms 51:19Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki, 2 sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana, 1 pia mafahali watatolewa 2 madhabahuni mwako.
Isaiah 2:3Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1
Isaiah 60:16Utanyonya maziwa ya mataifa, 2 na kunyonyeshwa matiti ya wafalme. 1 Ndipo utakapojua kwamba Mimi, Bwana, ni Mwokozi wako, 2 Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo. 1