Deuteronomy 33:21
Alijichagulia nchi nzuri kuliko zote 2 kwa ajili yake mwenyewe; 1 fungu la kiongozi lilikuwa limehifadhiwa 2 kwa ajili yake. 1 Viongozi wa watu walipokusanyika, 2 alitimiza haki ya mapenzi ya Bwana, 2 na hukumu zake kuhusu Israeli.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kuhusu Dani akasema: 1 “Dani ni mwana simba, 2 akiruka kutoka Bashani.”
Cross References
Numbers 32:16Ndipo wakamjia Mose na kumwambia, “Tungalitaka kujenga mazizi hapa kwa ajili ya mifugo yetu na miji kwa ajili ya wanawake wetu na watoto.
Joshua 4:12Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase wakavuka mbele ya Waisraeli, wakiwa wamevaa silaha, kama Mose alivyowaamuru.
Judges 5:2“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, 2 wakati watu wanapojitoa 2 kwa hiari yao wenyewe: 2 mhimidini Bwana! 1