Kumbukumbu 33:20
Kuhusu Gadi akasema: 1 “Atabarikiwa yeye aongezaye milki ya Gadi! 2 Gadi huishi huko kama simba, 2 akirarua kwenye mkono au kichwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 9:26Pia akasema, 1 “Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu! 2 Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 1
Joshua 13:8Ile nusu nyingine ya Manase, Wareubeni na Wagadi, walishapokea urithi Mose aliokuwa amewapa mashariki mwa Yordani, sawasawa na mtumishi wa Bwana alivyowagawia.
Joshua 13:24Haya ndiyo maeneo ambayo Mose alikuwa amewapa kabila la Gadi, ukoo kwa ukoo:
1 Chronicles 5:18Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walikuwa na watu mashujaa 44,760 waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya vita: watu wenye nguvu, hodari wa kutumia ngao na upanga, mashujaa wa kutumia upinde, waliokuwa tayari kwa ajili ya kazi hiyo.
1 Chronicles 12:9Ezeri alikuwa mkuu wao, 1 Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu, 1
Psalms 18:19Alinileta nje mahali penye nafasi tele, 2 akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 1