Kumbukumbu 33:23
Kuhusu Naftali akasema: 1 “Naftali amejaa tele upendeleo wa Bwana, 2 naye amejaa baraka yake; 2 atarithi magharibi na kusini.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kuhusu Dani akasema: 1 “Dani ni mwana simba, 2 akiruka kutoka Bashani.”
Cross References
Joshua 19:32Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo: 1
Psalms 90:14Tushibishe asubuhi kwa upendo wako usiokoma, 2 ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote. 1
Jeremiah 31:14Nitawashibisha makuhani kwa wingi, 2 nao watu wangu watajazwa kwa ukarimu wangu,” 4 asema Bwana.
Matthew 4:16watu wale waliokaa gizani 2 wameona nuru kuu; 1 nao wale walioishi katika nchi ya uvuli wa mauti, 2 nuru imewazukia.”