Numbers 23:20
Nimepokea agizo kubariki; 2 amebariki, nami siwezi kubadilisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, I have received commandment to bless: and he hath blessed; and I cannot reverse it.
In Context
Cross References
Genesis 22:17hakika nitakubariki, na nitauzidisha uzao wako kama nyota za angani na kama mchanga ulioko pwani. Wazao wako watamiliki miji ya adui zao,
Numbers 22:12Lakini Bwana akamwambia Balaamu, “Usiende pamoja nao. Hupaswi kulaani watu hao, kwa kuwa wamebarikiwa.”
Numbers 22:38Balaamu akajibu, “Vema, sasa nimekuja kwako. Lakini kwani nina uwezo wa kusema tu chochote? Ni lazima niseme tu kile ambacho Mungu ataweka kinywani mwangu.”
Isaiah 43:13Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. 1 Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa 2 kutoka mkononi wangu. 1 Mimi ninapotenda, 2 ni nani awezaye kutangua?” 1 Huruma Za Mungu, Na Kukosa Uaminifu Kwa Israeli 1
Romans 8:38Kwa maana nimekwisha kujua kwa hakika ya kuwa sio mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuja, wala wenye uwezo,