Kumbukumbu 4:7
Ni taifa gani jingine lililo kubwa kiasi cha kuwa na miungu yao iliyo karibu nao kama Bwana Mungu wetu alivyo karibu nasi wakati wowote tunapomwomba?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 23:9Kutoka vilele vya miamba ninawaona, 2 kutoka mahali palipoinuka ninawatazama. 1 Ninaliona taifa ambalo wanaishi peke yao, 2 nao hawahesabiwi kama mojawapo ya mataifa. 1
Deuteronomy 5:26Ni mtu yupi mwenye mwili ambaye amewahi kuisikia sauti ya Mungu aliye hai akizungumza kutoka kwenye moto, kama sisi tulivyoisikia, naye akaishi?
2 Samuel 7:23Naye ni nani aliye kama watu wako Israeli, taifa pekee duniani ambalo Mungu alitoka kwenda kulikomboa kwa ajili yake mwenyewe, na kujifanyia jina mwenyewe, kwa kufanya maajabu makubwa na ya kutisha kwa kuwafukuza mataifa na miungu yao mbele ya watu wako, ambao uliwakomboa kutoka Misri?
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 145:18Bwana yu karibu na wote wamwitao, 2 karibu na wote wamwitao kwa uaminifu. 1
Isaiah 43:4Kwa kuwa wewe ni wa thamani na wa kuheshimiwa machoni pangu, 2 nami kwa kuwa ninakupenda, 1 nitatoa watu badala yako 2 na mataifa badala ya maisha yako. 1