Kumbukumbu 33:5
Alikuwa mfalme juu ya Yeshuruni + 33:5 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli. 2 wakati viongozi wa watu walipokusanyika, 2 pamoja na makabila ya Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4sheria ile Mose aliyotupa sisi, 2 tulio milki ya kusanyiko la Yakobo. 1
6“Reubeni na aishi, asife, 2 wala watu wake wasiwe wachache.”
Cross References
Genesis 36:31Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala: 2
Exodus 18:16Kila wakiwa na shauri huletwa kwangu, nami huamua kati ya mtu na mwenzake na kuwajulisha juu ya amri na sheria za Mungu.”
Numbers 16:13Haitoshi tu kwamba wewe umetuleta kutoka nchi itiririkayo maziwa na asali ili kutuua sisi jangwani? Nawe sasa pia unataka kuwa mkuu juu yetu?
Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1
Judges 8:22Waisraeli wakamwambia Gideoni, “Ututawale, wewe, wanao na wana wa wana wako, kwa kuwa umetuokoa kutoka mikononi mwa Wamidiani.”
Judges 17:6Katika siku hizo Israeli hawakuwa na mfalme, kila mmoja akafanya kama alivyoona vyema machoni pake mwenyewe.