Kumbukumbu 33:6
“Reubeni na aishi, asife, 2 wala watu wake wasiwe wachache.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let Reuben live, and not die; and let not his men be few.
In Context
Cross References
Genesis 35:23Wana wa Lea walikuwa: 2 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, 2 Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 1
Genesis 49:8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1
Joshua 22:1Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase,