Mwanzo 36:31
Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala: 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. 1
Cross References
Genesis 17:6Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, kwako yatatoka mataifa nao wafalme watatoka kwako.
Genesis 25:23Bwana akamjibu, 1 “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, 2 na mataifa hayo mawili 2 kutoka ndani yako watatenganishwa. 1 Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, 2 na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”
Numbers 24:17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1
Deuteronomy 33:5Alikuwa mfalme juu ya Yeshuruni + 33:5 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli. 2 wakati viongozi wa watu walipokusanyika, 2 pamoja na makabila ya Israeli. 1
1 Chronicles 1:43Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli: 2 Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba. 2