The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:7

Kumbukumbu 33:7

Akasema hili kuhusu Yuda: 1 “Ee Bwana, sikia kilio cha Yuda, 2 mlete kwa watu wake. 1 Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. 2 Naam, uwe msaada wake 2 dhidi ya adui zake!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And this is the blessing of Judah: and he said, Hear, LORD, the voice of Judah, and bring him unto his people: let his hands be sufficient for him; and be thou an help to him from his enemies.

In Context

6“Reubeni na aishi, asife, 2 wala watu wake wasiwe wachache.”

8Kuhusu Lawi alisema: 1 “Thumimu yako na Urimu + 33:8 Thumimu na Urimu maana yake Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. yako ulimpa, 2 mtu yule uliyemfadhili. 1 Ulimjaribu huko Masa 2 na kushindana naye 2 kwenye maji ya Meriba. 1

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Joshua 15:20Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:

2 Samuel 3:1Vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi vilidumu kwa muda mrefu. Daudi akaendelea kuwa imara zaidi na zaidi, wakati nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika zaidi na zaidi. 1

2 Samuel 5:19kwa hiyo Daudi akamuuliza Bwana, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Bwana akamjibu, “Nenda, kwa maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.”

2 Samuel 7:9Nimekuwa pamoja nawe popote ulipokwenda, nami nimekuondolea mbali adui zako wote mbele yako. Basi nitalifanya jina lako kuwa kuu kama majina ya watu walio wakuu sana duniani.

2 Chronicles 17:12Yehoshafati akaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi, akajenga ngome na miji ya hazina katika Yuda

Psalms 20:2Na akutumie msaada kutoka patakatifu 2 na akupatie msaada kutoka Sayuni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:6Kumbukumbu 33Kumbukumbu 33:8 →