The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:8

Kumbukumbu 33:8

Kuhusu Lawi alisema: 1 “Thumimu yako na Urimu + 33:8 Thumimu na Urimu maana yake Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. yako ulimpa, 2 mtu yule uliyemfadhili. 1 Ulimjaribu huko Masa 2 na kushindana naye 2 kwenye maji ya Meriba. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And of Levi he said, Let thy Thummim and thy Urim be with thy holy one, whom thou didst prove at Massah, and with whom thou didst strive at the waters of Meribah;

In Context

7Akasema hili kuhusu Yuda: 1 “Ee Bwana, sikia kilio cha Yuda, 2 mlete kwa watu wake. 1 Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. 2 Naam, uwe msaada wake 2 dhidi ya adui zake!”

9Alinena hivi kuhusu baba yake na mama yake, 2 ‘Mimi siwahitaji kamwe.’ 1 Akawasahau jamaa zake, 2 asiwatambue hata watoto wake, 1 lakini akaliangalia neno lako 2 na kulilinda Agano lako. 1

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Exodus 17:7Naye akapaita mahali pale Masa, + 17:7 Masa maana yake ni Kujaribu. na Meriba + 17:7 Meriba maana yake ni Kugombana. kwa sababu Waisraeli waligombana na kumjaribu Bwana wakisema, “Je, Bwana yu pamoja nasi au la?” 1 Vita Na Waamaleki

Exodus 28:36“Tengeneza bamba la dhahabu safi na uchore juu yake maneno haya kama vile muhuri huchorwa: Mtakatifu kwa Bwana.

Leviticus 21:7“ ‘Kamwe wasioe wanawake waliojinajisi kwa ukahaba, au waliopewa talaka na waume wao, kwa sababu makuhani ni watakatifu kwa Mungu wao.

Numbers 20:13Haya yalikuwa maji ya Meriba, + 20:13 Meriba maana yake Kugombana. mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na Bwana, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao. 1 Edomu Wakatalia Israeli Kupita

Numbers 35:8Miji ambayo mtawapa Walawi kutoka nchi ambayo Waisraeli wanamiliki itatolewa kwa uwiano wa urithi wa kila kabila. Chukua miji mingi kutoka lile kabila lenye miji mingi, lakini uchukue miji michache kutoka kwa kabila lile lenye miji michache.”

Deuteronomy 8:16Aliwapa mana ya kula jangwani, kitu ambacho baba zenu hawakukijua, ili kuwanyenyekesha na kuwajaribu ninyi ili mwishoni apate kuwatendea mema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:7Kumbukumbu 33Kumbukumbu 33:9 →