Kumbukumbu 4:43
Miji hiyo ilikuwa: Bezeri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya Wareubeni; Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya Wagadi; nao mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya Wamanase. 1 Utangulizi Wa Sheria
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44Hii ndiyo sheria Mose aliyoweka mbele ya Waisraeli.
Cross References
Joshua 21:27Koo za Walawi za Wagershoni walipewa: 4 kutoka nusu ya kabila la Manase, 4 Golani katika Bashani (mji mkuu wa makimbilio kwa yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji) na Beeshtera, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili; 4
1 Kings 4:13Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba); 1
1 Chronicles 6:63Wazao wa Merari, ukoo kwa ukoo walipewa miji kumi na miwili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni.
1 Chronicles 6:71Wagershoni walipokea miji ifuatayo pamoja na maeneo yake ya malisho: 1 Katika nusu ya kabila la Manase: 2 walipewa Golani katika Bashani na pia Ashtarothi. 1