The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 4 › Kumbukumbu 4:8

Kumbukumbu 4:8

Nalo ni taifa gani jingine lililo kubwa hivi lenye kuwa na amri na sheria za haki kama hizi ninazoweka mbele yenu leo?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And what nation is there so great, that hath statutes and judgments so righteous as all this law, which I set before you this day?

In Context

7Ni taifa gani jingine lililo kubwa kiasi cha kuwa na miungu yao iliyo karibu nao kama Bwana Mungu wetu alivyo karibu nasi wakati wowote tunapomwomba?

9Mwe waangalifu, na makini ili msije mkasahau mambo ambayo mliyaona kwa macho yenu, wala kuyaacha yaondoke moyoni mwenu siku zote za uhai wenu. Mwafundishe hayo watoto wenu na watoto wao baada yao.

Read all of Kumbukumbu 4

Cross References

Deuteronomy 10:12Na sasa, ee Israeli, Bwana Mungu wako anataka nini kwako ila kumcha Bwana Mungu wako, kwenda katika njia zake, kumpenda na kumtumikia Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote,

Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1

Psalms 119:96Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo, 2 lakini amri zako hazina mpaka. 2 Kuipenda Sheria Ya Bwana 1

Psalms 119:138Sheria ulizoziweka ni za haki, 2 ni za kuaminika kikamilifu. 1

Psalms 147:20Hajafanya hivyo kwa taifa lingine lolote, 2 hawazijui sheria zake. 1 Msifuni Bwana.

Romans 7:12Hivyo basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri ni takatifu na ya haki, tena ni njema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 4:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 4:7Kumbukumbu 4Kumbukumbu 4:9 →