Kumbukumbu 7:17
Mnaweza kujiuliza wenyewe “Mataifa haya ni yenye nguvu kuliko sisi. Tutawezaje kuwafukuza?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thou shalt say in thine heart, These nations are more than I; how can I dispossess them?
In Context
Cross References
Numbers 13:32Wakaeneza taarifa mbaya miongoni mwa Waisraeli kuhusu nchi waliyoipeleleza. Wakasema, “Nchi tuliyoipeleleza hula watu waishio ndani yake. Watu wote tuliowaona huko ni majitu.
Numbers 33:53Mtaimiliki nchi hiyo na kukaa huko, kwa kuwa nimewapeni ninyi kuimiliki.
Deuteronomy 8:17Mnaweza kusema, “Uwezo wangu na nguvu za mikono yangu ndizo zilizonipatia utajiri huu.”
Deuteronomy 18:21Mnaweza kuulizana wenyewe, “Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na Bwana?”
Joshua 23:3Ninyi wenyewe mmeona kila kitu Bwana Mungu wenu, alichowatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Ilikuwa ni Bwana Mungu wenu aliyewapigania.
Isaiah 47:8“Sasa basi, sikiliza, ewe kiumbe mpenda anasa, 2 ukaaye mahali pako pa salama, 1 na kujiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu. 1 Kamwe sitakuwa mjane, 2 wala sitafiwa na watoto.’ 1