Isaiah 47:8
“Sasa basi, sikiliza, ewe kiumbe mpenda anasa, 2 ukaaye mahali pako pa salama, 1 na kujiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu. 1 Kamwe sitakuwa mjane, 2 wala sitafiwa na watoto.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 18:7Basi hao watu watano wakaondoka na kufika Laishi, mahali ambapo waliwakuta watu wanaishi salama, kama Wasidoni, kwa utulivu na bila mashaka. Nchi yao haikupungukiwa na kitu chochote, hivyo wakawa tajiri. Pia walikaa mbali sana na Wasidoni, wala hawakushughulika na mtu yeyote.
Psalms 10:5Njia zake daima hufanikiwa; 2 hujivuna na amri zako ziko mbali naye, 2 huwacheka kwa dharau adui zake wote. 1
Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1
Isaiah 45:6ili kutoka mawio ya jua 2 mpaka machweo yake, 1 watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi. 2 Mimi ndimi Bwana wala hakuna mwingine. 1
Isaiah 47:10Umeutegemea uovu wako, 2 nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ 1 Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza 2 unapojiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ 1
Jeremiah 50:31“Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,” 2 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 “kwa kuwa siku yako imewadia, 2 yaani, wakati wako wa kuadhibiwa. 1