Mhubiri 1:10
Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema, 2 “Tazama! Kitu hiki ni kipya”? 1 Kilikuwepo tangu zamani za kale, 2 kilikuwepo kabla ya wakati wetu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ecclesiastes 6:10Lolote lililopo limekwisha kupewa jina, 2 naye mwanadamu alivyo ameshajulikana; 1 hakuna mtu awezaye kushindana 2 na mwenye nguvu kuliko yeye. 1
Matthew 23:30Nanyi mwasema, ‘Kama tungaliishi wakati wa baba zetu, tusingalikuwa tumeshiriki katika kumwaga damu ya manabii!’
Acts 7:51“Enyi watu wenye shingo ngumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, daima hamwachi kumpinga Roho Mtakatifu, kama walivyofanya baba zenu.
2 Timothy 3:8Kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Mose, vivyo hivyo watu hawa hupingana na ile kweli. Hawa ni watu wenye akili zilizopotoka, ambao wamekataliwa kwa mambo ya imani.