Mhubiri 1:9
Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena, 2 kile kilichofanyika kitafanyika tena, 2 hakuna kilicho kipya chini ya jua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ecclesiastes 3:15Chochote kilichopo kilishakuwepo, 2 na kitakachokuwepo kimekwishakuwepo kabla; 2 naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena.
Ecclesiastes 7:10Usiseme, “Kwa nini siku za kale zilikuwa bora kuliko siku hizi?” 2 Kwa maana si hekima kuuliza maswali kama hayo. 1
Jeremiah 31:22Utatangatanga hata lini, 2 ee binti usiye mwaminifu? 1 Bwana ameumba kitu kipya duniani: 2 mwanamke atamlinda mwanaume.”
Revelation 21:1Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya, kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza vimekwisha kupita, wala hapakuwepo na bahari tena.