Mhubiri 6:10
Lolote lililopo limekwisha kupewa jina, 2 naye mwanadamu alivyo ameshajulikana; 1 hakuna mtu awezaye kushindana 2 na mwenye nguvu kuliko yeye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Maneno yanavyokuwa mengi, 2 ndivyo yanavyokosa maana, 2 Je, hilo linamfaidia vipi yeyote?
Cross References
Genesis 3:17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1
Job 9:32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu, 2 ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani. 1
Job 33:13Kwa nini unamlalamikia 2 kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 1
Psalms 39:6Hakika kila binadamu ni kama njozi 2 aendapo huku na huko: 1 hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; 2 anakusanya mali nyingi, 2 wala hajui ni nani atakayeifaidi. 1
Psalms 103:15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, 2 anachanua kama ua la shambani; 1
Ecclesiastes 1:10Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema, 2 “Tazama! Kitu hiki ni kipya”? 1 Kilikuwepo tangu zamani za kale, 2 kilikuwepo kabla ya wakati wetu. 1