Mhubiri 1:18
Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa; 2 maarifa yanapoongezeka, masikitiko yanaongezeka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For in much wisdom is much grief: and he that increaseth knowledge increaseth sorrow.
In Context
Cross References
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Ecclesiastes 2:23Siku zake zote kazi yake ni maumivu na masikitiko, hata usiku akili yake haipati mapumziko. Hili nalo pia ni ubatili.
Ecclesiastes 12:12Tena zaidi ya hayo, mwanangu, kubali maonyo, hakuna mwisho wa kutunga vitabu vingi, nako kusoma sana huuchosha mwili. 1
James 3:13Ni nani aliye na hekima na ufahamu miongoni mwenu? Basi na aionyeshe hiyo kwa maisha yake mema na kwa matendo yake yaliyotendwa kwa unyenyekevu utokanao na hekima.