Mhubiri 2:23
Siku zake zote kazi yake ni maumivu na masikitiko, hata usiku akili yake haipati mapumziko. Hili nalo pia ni ubatili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Mtu atapata nini kwa taabu yote na kuhangaika kwa bidii katika kazi anayotaabikia chini ya jua?
Cross References
Esther 6:1Usiku ule mfalme hakupata usingizi, hivyo akaagiza aletewe kitabu cha kumbukumbu za matukio ya utawala wake, asomewe.
Job 7:13Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, 2 nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, 1
Psalms 6:6Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni; 2 usiku kucha nafurikisha 2 kitanda changu kwa machozi; 1 nimelowesha viti vyangu vya fahari 2 kwa machozi. 1
Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1
Psalms 90:15Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, 2 kulingana na miaka tuliyotaabika. 1
Ecclesiastes 1:18Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa; 2 maarifa yanapoongezeka, masikitiko yanaongezeka.