The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 1 › Mhubiri 1:8

Mhubiri 1:8

Vitu vyote vinachosha, 2 zaidi kuliko mtu anavyoweza kusema. 1 Jicho kamwe halitosheki kutazama, 2 wala sikio halishibi kusikia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All things are full of labour; man cannot utter it: the eye is not satisfied with seeing, nor the ear filled with hearing.

In Context

7Mito yote hutiririka baharini, 2 hata hivyo bahari kamwe haijai. 1 Mahali mito inapotoka, 2 huko hurudi tena. 1

9Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena, 2 kile kilichofanyika kitafanyika tena, 2 hakuna kilicho kipya chini ya jua. 1

Read all of Mhubiri 1

Cross References

Proverbs 27:20Kuzimu na Uharibifu havishibi 2 kadhalika macho ya mwanadamu. 1

Ecclesiastes 2:11Hata hivyo nilipokuja kuangalia yote ambayo 2 mikono yangu ilikuwa imefanya 2 na yale niliyotaabika kukamilisha, 1 kila kitu kilikuwa ni ubatili, ni kukimbiza upepo; 2 hapakuwa na faida yoyote chini ya jua. 1 Hekima Na Upumbavu Ni Ubatili 1

Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1

Ecclesiastes 5:10Yeyote apendaye fedha kamwe 2 hatosheki na fedha; 1 yeyote apendaye utajiri kamwe 2 hatosheki na kipato chake. 2 Hili nalo pia ni ubatili. 1

Ecclesiastes 7:24Vyovyote hekima ilivyo, 2 hekima iko mbali sana na imejificha, 2 ni nani awezaye kuigundua? 1

Matthew 11:28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 1:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 1:7Mhubiri 1Mhubiri 1:9 →