Mhubiri 10:17
Heri wewe, ee nchi ambayo mfalme wako ni wa uzao wenye kuheshimika 2 na ambayo wakuu wako hula chakula kwa wakati unaofaa: 2 ili kupata nguvu na si kwa ajili ya ulevi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa 2 na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi. 1
18Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama, 2 kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja. 1
Cross References
Deuteronomy 14:26Tumieni hiyo fedha kununua chochote ukitakacho: ngʼombe, kondoo, divai au kinywaji chochote chenye chachu au chochote mnachotaka. Kisha ninyi na wa nyumbani mwenu mtaila mbele za Bwana Mungu wenu na kufurahi.
Proverbs 31:4“Ee Lemueli, haifai wafalme, 2 haifai wafalme kunywa mvinyo, 2 haifai watawala kutamani sana kileo, 1
Isaiah 5:11Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema 2 wakikimbilia kunywa vileo, 1 wale wakawiao sana mpaka usiku, 2 mpaka wamewaka kwa mvinyo. 1