The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 31 › Proverbs 31:4

Proverbs 31:4

“Ee Lemueli, haifai wafalme, 2 haifai wafalme kunywa mvinyo, 2 haifai watawala kutamani sana kileo, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It is not for kings, O Lemuel, it is not for kings to drink wine; nor for princes strong drink:

In Context

3Usitumie nguvu zako kwa wanawake, 2 uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme. 1

5wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru 2 na kuwanyima haki zao wote walioonewa. 1

Read all of Proverbs 31

Cross References

Leviticus 10:9“Wewe na wanao msinywe mvinyo wala kinywaji kingine kilichochachuka wakati mwingiapo katika Hema la Kukutania, la sivyo mtakufa. Hili litakuwa Agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo.

1 Kings 20:12Ben-Hadadi alisikia ujumbe huu wakati ambapo yeye na wafalme walikuwa wanakunywa katika mahema yao, na akawaamuru watu wake, “Jiandaeni kushambulia.” Kwa hiyo wakajiandaa kuushambulia mji. 1 Ahabu Amshinda Ben-Hadadi

Esther 1:10Siku ya saba, wakati Mfalme Ahasuero alikuwa amesisimka roho yake kwa mvinyo, aliamuru matowashi saba waliokuwa wakimhudumia, yaani, Mehumani, Biztha, Harbona, Bigtha, Abagtha, Zethari na Karkasi,

Proverbs 20:1Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; 2 yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 1

Ecclesiastes 10:17Heri wewe, ee nchi ambayo mfalme wako ni wa uzao wenye kuheshimika 2 na ambayo wakuu wako hula chakula kwa wakati unaofaa: 2 ili kupata nguvu na si kwa ajili ya ulevi. 1

Isaiah 28:7Hawa pia wanapepesuka kwa sababu ya mvinyo, 2 wanayumbayumba kwa sababu ya kileo: 1 Makuhani na manabii wanapepesuka kwa sababu ya kileo, 2 wanachanganyikiwa kwa sababu ya mvinyo; 1 wanapepesuka wanapoona maono, 2 wanajikwaa wanapotoa maamuzi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 31:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 31:3Proverbs 31Proverbs 31:5 →