The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 5 › Isaya 5:11

Isaya 5:11

Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema 2 wakikimbilia kunywa vileo, 1 wale wakawiao sana mpaka usiku, 2 mpaka wamewaka kwa mvinyo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Woe unto them that rise up early in the morning, that they may follow strong drink; that continue until night, till wine inflame them!

In Context

10Shamba la mizabibu la eka kumi 2 litatoa bathi + 5:10 Bathi moja ni sawa na lita 22. moja ya divai, 1 na homeri + 5:10 Homeri moja ni sawa na lita 220. ya mbegu zilizopandwa 2 itatoa efa + 5:10 Efa moja ni sawa na lita 22. moja tu ya nafaka.” 1

12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1

Read all of Isaya 5

Cross References

Proverbs 20:1Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; 2 yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 1

Proverbs 23:32Mwishowe huuma kama nyoka 2 na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu. 1

Isaiah 5:22Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, 2 nao walio hodari katika kuchanganya vileo, 1

Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1

Hosea 7:5Katika sikukuu ya mfalme wetu 2 wakuu wanawaka kwa mvinyo, 2 naye anawaunga mkono wenye mizaha. 1

Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 5:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 5:10Isaya 5Isaya 5:12 →