Mhubiri 10:4
Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, 2 usiache mahali pako, 2 utulivu huweza kuzuia makosa mengi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Kuna ubaya niliouona chini ya jua, 2 aina ya kosa litokalo kwa mtawala: 1
Cross References
Proverbs 25:15Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa, 2 nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa. 1