The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 10 › Mhubiri 10:5

Mhubiri 10:5

Kuna ubaya niliouona chini ya jua, 2 aina ya kosa litokalo kwa mtawala: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is an evil which I have seen under the sun, as an error which proceedeth from the ruler:

In Context

4Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, 2 usiache mahali pako, 2 utulivu huweza kuzuia makosa mengi. 1

6Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, 2 wakati matajiri hushika nafasi za chini. 1

Read all of Mhubiri 10

Cross References

Proverbs 19:10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, 2 itakuwa vibaya kiasi gani 2 kwa mtumwa kuwatawala wakuu. 1

Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1

Ecclesiastes 5:13Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: 1 Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima 2 na kuleta madhara kwa mwenye mali, 1

Ecclesiastes 9:3Huu ni ubaya ulio katika kila kitu kinachotendeka chini ya jua: Mwisho unaofanana huwapata wote. Zaidi ya hayo, mioyo ya watu, imejaa ubaya na kuna wazimu mioyoni mwao wangali hai, hatimaye huungana na waliokufa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 10:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 10:4Mhubiri 10Mhubiri 10:6 →