Mhubiri 10:6
Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, 2 wakati matajiri hushika nafasi za chini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Folly is set in great dignity, and the rich sit in low place.
In Context
5Kuna ubaya niliouona chini ya jua, 2 aina ya kosa litokalo kwa mtawala: 1
7Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, 2 wakati wakuu wakitembea 2 kwa miguu kama watumwa. 1
Cross References
1 Kings 12:13Mfalme akawajibu watu kwa ukatili. Akikataa shauri alilopewa na wazee,
Psalms 12:8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali 2 wakati ambapo yule aliye mbaya sana 2 ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.
Proverbs 28:28Wakati waovu watawalapo, 2 watu huenda mafichoni, 1 bali waovu wanapoangamia, 2 wenye haki hufanikiwa.
James 2:3nanyi mkampa heshima yule aliyevaa mavazi mazuri na kumwambia, “Keti hapa mahali pazuri,” lakini yule maskini mkamwambia, “Wewe simama pale,” au “Keti hapa sakafuni karibu na miguu yangu,”