Mhubiri 10:7
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, 2 wakati wakuu wakitembea 2 kwa miguu kama watumwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I have seen servants upon horses, and princes walking as servants upon the earth.
In Context
6Wapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu, 2 wakati matajiri hushika nafasi za chini. 1
Cross References
Esther 6:8aletewe joho la kifalme ambalo mfalme ameshalivaa na farasi ambaye mfalme alishampanda, ambaye amevikwa taji ya kifalme kichwani mwake.
Proverbs 30:22Mtumwa awapo mfalme, 2 mpumbavu ashibapo chakula, 1