Mhubiri 11:5
Kama vile usivyofahamu njia ya upepo, 2 au jinsi mwili uumbwavyo 2 ndani ya tumbo la mama, 1 vivyo hivyo huwezi kufahamu kazi ya Mungu, 2 Muumba wa vitu vyote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Yeyote atazamaye upepo hatapanda, 2 yeyote aangaliaye mawingu hatavuna. 1
Cross References
Job 5:9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, 2 miujiza isiyoweza kuhesabika. 1
Job 26:14Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; 2 tazama jinsi ulivyo mdogo mnongʼono tunaousikia kumhusu! 1 Ni nani basi awezaye kuelewa 2 ngurumo za nguvu zake?”
Job 37:23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; 2 katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 1
Psalms 40:5Ee Bwana Mungu wangu, 2 umefanya mambo mengi ya ajabu. 1 Mambo uliyopanga kwa ajili yetu 2 hakuna awezaye kukuhesabia; 1 kama ningesema na kuyaelezea, 2 yangekuwa mengi mno kuyaelezea. 1
Psalms 104:24Ee Bwana, jinsi matendo yako yalivyo mengi! 2 Kwa hekima ulizifanya zote, 2 dunia imejaa viumbe vyako. 1
Ecclesiastes 1:6Upepo huvuma kuelekea kusini 2 na kugeukia kaskazini, 1 hurudia mzunguko huo huo, 2 daima ukirudia njia yake. 1