Ayubu 37:23
Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; 2 katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; 2 Mungu huja katika utukufu wa kutisha. 1
24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, 2 kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Cross References
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Job 9:19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu! 2 Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 1
Job 12:13“Hekima na nguvu ni vya Mungu; 2 shauri na ufahamu ni vyake yeye. 1
Job 26:14Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; 2 tazama jinsi ulivyo mdogo mnongʼono tunaousikia kumhusu! 1 Ni nani basi awezaye kuelewa 2 ngurumo za nguvu zake?”
Job 36:26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, 2 kupita ufahamu wetu! 2 Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 1
Psalms 30:5Kwa maana hasira yake ni ya muda mfupi, 2 bali upendo wake hudumu siku zote. 1 Inawezekana kilio kiwepo usiku kucha, 2 lakini asubuhi kukawa na furaha. 1