Mhubiri 1:6
Upepo huvuma kuelekea kusini 2 na kugeukia kaskazini, 1 hurudia mzunguko huo huo, 2 daima ukirudia njia yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Jua huchomoza na jua huzama, 2 nalo huharakisha kurudi mawioni. 1
Cross References
Job 37:17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako 2 wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, 1
Psalms 107:29Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, 2 mawimbi ya bahari yakatulia. 1
Jonah 1:4Ndipo Bwana akatuma upepo mkali baharini, nayo dhoruba kali sana ikavuma hata meli ikawa hatarini kuvunjika.
Matthew 7:27Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, nao upepo ukavuma ukaipiga hiyo nyumba, nayo ikaanguka kwa kishindo kikubwa.”
Acts 27:13Upepo mtulivu ulipoanza kuvuma toka kusini, wakadhani kuwa wangeweza kufikia lengo lao, hivyo wakangʼoa nanga na kusafiri wakipita kandokando ya pwani ya kisiwa cha Krete.