The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 12 › Mhubiri 12:2

Mhubiri 12:2

kabla jua na nuru, 2 nao mwezi na nyota havijatiwa giza, 2 kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

While the sun, or the light, or the moon, or the stars, be not darkened, nor the clouds return after the rain:

In Context

1Mkumbuke Muumba wako 2 siku za ujana wako, 1 kabla hazijaja siku za taabu, 2 wala haijakaribia miaka utakaposema, 2 “Mimi sifurahii hiyo”: 1

3siku ile walinzi wa nyumba watakapotetemeka, 2 nao watu wenye nguvu watakapojiinamisha, 1 wakati wasagao watakapokoma kwa sababu ya uchache, 2 nao wachunguliao madirishani kutiwa giza; 1

Read all of Mhubiri 12

Cross References

Genesis 48:10Basi macho ya Israeli yalikuwa hayaoni vizuri kwa sababu ya uzee, naye aliona kwa shida. Kwa hiyo Yosefu akawaleta wanawe karibu na baba yake, Israeli akawabusu na akawakumbatia.

1 Samuel 4:15wakati huu Eli alikuwa na miaka tisini na minane nayo macho yake yalikuwa yamepofuka na hakuweza kuona.

Psalms 42:7Kilindi huita kilindi, 2 katika ngurumo za maporomoko ya maji yako; 1 mawimbi yako yote pamoja na viwimbi 2 vimepita juu yangu. 1

Psalms 77:16Maji yalikuona, Ee Mungu, 2 maji yalikuona yakakimbia, 2 vilindi vilitetemeka. 1

Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 12:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 12:1Mhubiri 12Mhubiri 12:3 →