The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 5 › Isaya 5:30

Isaya 5:30

Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And in that day they shall roar against them like the roaring of the sea: and if one look unto the land, behold darkness and sorrow, and the light is darkened in the heavens thereof.

In Context

29Ngurumo yao ni kama ile ya simba, 2 wananguruma kama wana simba, 1 wanakoroma wanapokamata mawindo yao, 2 na kuondoka nayo pasipo yeyote wa kuokoa. 1

Read all of Isaya 5

Cross References

Psalms 93:3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1

Isaiah 13:10Nyota za mbinguni na makundi ya nyota 2 havitatoa mwanga wake. 1 Jua linalochomoza litatiwa giza 2 na mwezi hautatoa nuru yake. 1

Jeremiah 4:23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1

Jeremiah 50:42Wamejifunga pinde na mikuki; 2 ni wakatili na wasio na huruma. 1 Wanatoa sauti kama bahari inayonguruma 2 wanapoendesha farasi zao; 1 wanakuja kama watu waliojipanga tayari kwa vita 2 ili kukushambulia, ee Binti Babeli. 1

Ezekiel 32:7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu 2 na kuzitia nyota zake giza; 1 nitalifunika jua kwa wingu, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake. 1

Amos 8:9“Katika siku ile,” asema Bwana Mwenyezi, 1 “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia 2 iwe giza wakati wa mchana mwangavu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 5:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 5:29Isaya 5