The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 12 › Mhubiri 12:3

Mhubiri 12:3

siku ile walinzi wa nyumba watakapotetemeka, 2 nao watu wenye nguvu watakapojiinamisha, 1 wakati wasagao watakapokoma kwa sababu ya uchache, 2 nao wachunguliao madirishani kutiwa giza; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the day when the keepers of the house shall tremble, and the strong men shall bow themselves, and the grinders cease because they are few, and those that look out of the windows be darkened,

In Context

2kabla jua na nuru, 2 nao mwezi na nyota havijatiwa giza, 2 kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua; 1

4wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa 2 na sauti ya kusaga kufifia; 1 wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, 2 lakini nyimbo zao zote zikififia; 1

Read all of Mhubiri 12

Cross References

Genesis 27:1Isaki alipokuwa mzee na macho yake yalipokuwa yamekosa nguvu asiweze kuona tena, akamwita Esau mwanawe mkubwa, akamwambia, “Mwanangu.” Akajibu, “Mimi hapa.”

1 Samuel 3:2Usiku mmoja Eli, ambaye macho yake yalikuwa yamefifia sana kiasi kwamba aliona kwa shida sana, alikuwa amelala mahali pake pa kawaida.

Psalms 90:9Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, 2 tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza. 1

Zechariah 8:4Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Kwa mara nyingine tena wazee wanaume kwa wanawake walioshiba umri wataketi katika barabara za Yerusalemu, kila mmoja akiwa na mkongojo wake mkononi kwa sababu ya umri wake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 12:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 12:2Mhubiri 12Mhubiri 12:4 →